WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA
Posted in
No comments
Sunday, May 25, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri
wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya
Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa
na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika
Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo.
Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano.
Shy-Rose Bhanji akizungumza na Mbunge Mwenzake wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere.
Bhanji ndani ya viwanja vya Bunge...
Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge...
Picha ya pamoja na baadhi yua Wabunge na mawaziri wa Bunge la Muungano.
Makongoro Nyerere na Mheshimiwa Wasira.
Picha na Wabunge mbalimbali
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :