DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI
Posted in
International
,
Muziki
No comments
Monday, June 30, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa nominated kwenye katagoli ya international collaboration. Mgeni wa heshima alikua Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa Tanzania California.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa kwenye showa ya Diamond Platnumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.
Diamond Platnumza rais wa Wasafi akifanya vitu vyake.
Diamond Platnumz akiwachengua mashabiki waliohudhuria show yake ya California.
Diamond Platnumz akishambulia jukwaa na kuwapagawisha mashabiki wake wa California nchini Marekani.
mashabiki wakipagawa kwa show ya kukata na shoka toka kwa rais wa wasafi Diamond Platnumz
Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California picha zaidi bofya hapa
Habari Zingine
- Usishangae Donald Trump Akiuza moja ya Majengo haya kufadhili Kampeni yake
- KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN
- IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KUKABILI ISIS
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA MAENDELEO WA MISRI (EGYPT THE FUTURE).
- GK KUIBUKA NA VANESSA MDEE JUMATATU HII
- KWEINGOMA WAAHIDI UHONDO WA NGOMA YA SELO TAMASHA LA HANDENI KWETU 2014
- DIAMOND AWA BALOZI WA "MZIIKI"
- TABORA WAMKATAA NUH MZIWANDA; WASEMA HAWEZI KUWA SHEMEJI YAO
- SHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA KUCHEZA MA-STYLE YA BENDI HIYO BILA KUKOSEA!
- Mugabe: watu wananiombea nife
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :