MARY LUCOS ANAOMBA KURA YAKO KWENYE MASHINDANO YA NANI MKALI CLOUDS TV

Posted in
No comments
Tuesday, July 22, 2014 By danielmjema.blogspot.com

DSC_0248
Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki nimeingizwa kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa mwaka.

Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze kushinda. Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love you all.Mary Lucos wa Skylight Band.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .