By
danielmjema.blogspot.com
|
Baaadhi ya waumini wa dini ya kiislamu na wasio waislamu wakipata futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi. |
|
Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Ibrahim Msengi (katikati)akiwa na sheakh mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Alhaj Shaban Rashid(kulia) |
|
Waalikwa wakiendelea kupata futari. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi ,Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa nne toka kulia)pia alikuwa mmoja wa waalikwa katika hafla hiyo . |
|
Mjumbe wa Bunge la Katiba na mkurugenzi wa shirika la KWIECO ,Elizabeth Minde (katikati) pia alikuwa miongoni mwa waalikwa katika hafla hiyo. |
|
Baadhi ya waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na benki ya Azania Tawi la Moshi. |
|
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Bi. Hajira Mmambe(shoto)akiteta jambo na mfanyabiasha ,Ibrahimu Shayo maarufu kama Ibra line(mwenye kanzu) ,katikati ni mfanyakazi wa taasisi moja ya fedha mjini Moshi. |
|
Afisa Biashara Mwandamizi wa Azania Bank makao makuu ,Othman Jibrea akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata futari ya pamoja iliyoandaliwa na Azania Bank tawi la Moshi. |
|
Shekhe Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Alhaj Shaban Rashid akizungumza wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,tawi la Moshi katika viwanja vya Gofu vya Moshi Club. |
0 MAOINI :