MOURINHO:"NIMEMALIZA USAJILI"

No comments
Saturday, July 19, 2014 By danielmjema.blogspot.com


Boss wa Chelsea, Jose Mourinho amesema amemaliza kununua wachezaji msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Filipe Luis kutoka Atlètico Madrid. Luis ni mchezaji wa nne mpya kusajiliwa na Mourinhomsimu huu baada ya Cesc Fabregas, Mario Pasalic na Diego Costa.

"Tumefunga biashara leo," amesema Mourinho. "Dirisha la usajili linafungwa Agosti 31, lakini sisi tumefunga Julai 19.  tulionunua tu, lakini pia kwa sababu tumemaliza biashara mapema kabisa."

Chelsea wamekuwa wakihusishwa na wachezaji kadhaa wa bei ghali msimu huu, akiwemo Sami Khedira wa Real Madrid na Radamel Falcao wa Monaco.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .