By
danielmjema.blogspot.com
|
Baadhi
ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya
Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA
Tanzania kwa kushirikiana na VIKES. |
|
Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo. |
|
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini. |
|
Wengine somo lilionekana kuwa gumu kiasi ikawalazimu kutizama ukurasa mweupe katika Computer zao. |
|
Mmoja
wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa
wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet yanayofanyika katika Chuo
cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro |
|
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. |
|
Darasa likiendelea. |
|
Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo. |
|
Ukafika Muda wa chakula kwa wenzetu ambao hawako katika mfungo. |
|
Washiriki wakapata picha ya pamoja. |
0 MAOINI :