PROF. MARK MWANDYOSA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) JIJIJI DAR
Posted in
Kitaifa
No comments
Tuesday, July 22, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu( Kulia ) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya wakati alipotembelea makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli zinazofanywa na TCAA. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya akikabidhiwa Nyaraka ya Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk. James Diu , wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya ofisi hiyo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa hapo. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya, akisisitiza jambo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakati alipokutana na Uongozi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu. |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), akifafanua wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya Makao Makuu ya TCAA jijijni Dar es Salaam. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Rubeni Ruhongore wakati alipokuwa akimuelezea shughuli zinazofanywa na TCAA wakati Waziri huyo alitembelea Makao Mkuu ya Mamlaka hiyo kwa ajili ya ziara ya kujionea shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao Makuu ya TCAA, Dar es Salaam.
|
Habari Zingine
- KATIBU MKUU KIONGOZI AFURAHISHWA NA UWEPO WA SACCOS MAKAZINI
- MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO
- PSPTB YAFANYA SEMINA YA UTAFITI KWA WANAFUNZI WA BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
- BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :