MAZISHI YA ANDREA DUMA BABA MWANDISHI WA HABARI WA MOblog SINGIDA

Posted in ,
No comments
Thursday, August 7, 2014 By danielmjema.blogspot.com

DSC00331
Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).
DSC00343
Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Andrea Duma.
DSC00357
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) Singida mjini, Hassan Mazala, akitoa nasaha zake kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrea Duma.Mazishi hayo yamefanyika jumamosi katika kijiji cha Ihanja.
DSC00355
Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali waliohudhuria mazishi ya mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.Andrea Duma.Mazishi hayo yamefanyika katika kijiji cha Ihanja Jumamosi iliyopita.
DSC00337
Baadhi ya waombelezaji waliohudhuria mazishi ya mchungaji mstaafu kanisa la Free Pentekoste Ihanja Andrea Duma yaliyofanyika katika kijiji cha Ihanja.
DSC00347
DSC00363
Jeneza lillobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida Andrea Duma (92), likiingizwa kaburini, kuhitimisha safari yake hapa duniani. Mazishi hayo yamefanyika Jumamosi iliyopita katika kijiji cha Ihanja. (Picha zote na Nathaniel Limu).

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .