MADABIDA AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA
Posted in
Matukio
No comments
Sunday, September 28, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida akizungumza na viongozi wa chama hicho Wilaya ya Ilala kabla ya kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi wa Wilaya ya Ilala
.Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida akivishwa skafu kabla ya kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida akiingia Ukumbini kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :