MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF) WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM KUFANYA MAPITIO YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI (PSSN).
Posted in
Matukio
No comments
Tuesday, September 16, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM leo. |
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo ,maafisa wa Serikali na watendaji wa TASAF uliofanya mapitio ya Mpango wa kunusuru kaya maskini uliofanyika kwenye Ukumbi kimataifa wa Nyerere Jijini DSM. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Peter Ilomo (aliyeketi katikati) akiwa na viongozi wengine Katika meza kuu wakifuatilia maelezo ya Mkurgenzi Mtendaji wa TASAF ,Bw. Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani) wakati wa ufungzi wa Mkutano wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini uliofanyika jijini DSM. |
Wakurugenzi wa TASAF Bw.Amedeus Kamagenge wa kwanza mbele na Fariji Mishael wa pili wakifuatilia mjadala wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini kati ya wadau wa maendeleo ,maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini DSM. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :