TANZIA: MAMA MZAZI WA IGP MSTAAFU, SAID MWEMA AMEFARIKI DUNIA
Posted in
Kifo
No comments
Saturday, October 4, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
MKUU wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema pamoja na ukoo wa Mwema na Nkya unasikitika kutangaza kifo cha
mama/dada yao mpendwa Bi Sophia Rajab Nkya kilichotokea jana 3/10/2014
saa 2.45 usiku ktk hospitali ya KCMC Moshi.
Mazishi yatafanyika leo
4/10/2014 saa 10 alasiri ktk makaburi ya Moshi Mjini.
Habari ziwafikie
ndugu, jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya nchi.Saidi Mwema.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :