By
danielmjema.blogspot.com
|
Wanafunzi wanao fanya mitihani ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Bishop Moshi iliyoko Vunjo. |
|
Wanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Bishop Moshi wakitoa burudani ya nyimbo wakati wa harambee ya kuchangia Bweni la wavulana |
|
Mkuu wa shule ya sekondari Boshop Moshi,Sophia Mushi akisoma risala mbele ya mgeni ,Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia. |
|
Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi. |
|
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni. |
|
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia. |
|
Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao wakipewa zawadi wakati wa hafla hiyo ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni. |
|
Mbunge Mbatia akitangaza kiasi cha mchango wake katika ujenzi wa Bweni ambapo alitangaza kutoa kiasi cha shilingi milioni 10 ,pembeni yake ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi akifurahi . |
|
Wanafunzi wa kidato cha nne wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi,Mbunge Mbatia. |
0 MAOINI :