MBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO

Posted in
No comments
Sunday, November 2, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo wakati alipotembelea mazingira ya shule.

Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi akitembelea bweni la wasichana katika shule hiyo.
Mh Mbatia akitizama moja ya chumba katika Bweni la wasichana ,shule ya sekondari Bishop Moshi ,chumba ambacho kimewekewa miundombinu mizuri ikiwemo milango kila mahali jambo ambalo lisaidia pindi kunapotokea majanga yakiwemo ya Moto.
Mh Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu cha kujifunzia Komputa na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa zilizopitwa wakati.
Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi.
Darasala la Komputa.
Mh Mbatia akitizama moja ya kifaa kilichopo katika maabara ya shule hiyo kijulikanacho kama Fume Chamber ambacho maabara nyingi za shule ni nadra kupatikana.
Mh Mbatia akitizama Bweni la Wavulana baada ya kutembelea shuleni hapo.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .