KWIECO YATOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI KILIMANJARO
Posted in
Elimu
,
Jukwaa la Habari
No comments
Saturday, December 20, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Afisa Habari wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO), Veronica Ollomi akifafanua jambo katika Warsha ya siku mbili kwa waandishi wa Habari wa mkoa wa Kilimanjaro, kilichofanyika juzi mjini Moshi, kwa lengo la kuwapa mafunzo juu ya Haki za Binadamu na Sheria zake.
Mtangazaji wa Redio Moshi FM, Neema Mkotya akiweka sawa mitambo kabla ya kuwasilisha Mada.
Mtaalamu wa maswala ya Haki za Binadamu kutoka KWIECO, Elizabeth Mushi akifafanua jambo kwa washiriki wa Warsha hiyo.
Waandishi wa Habari, Heckton Chuwa (Bussiness times), Nakajumo James (Habari Leo) na Happiness Tesha (Raia Tanzania) wakifuatilia mafunzo.
Sehemu ya Washiriki wa Warsha ya Haki za Binadamu, Waandishi wa Habari wa mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia uwasilishaji wa Mada katika Warsha hiyo.
Mwezeshaji Elizabeth Mushi akiendelea na Uwasilishaji wa Mada mbalimbali katika Warsha hiyo
Mwandishi wa Habari wa Tanzania Daima, Johnson Jabir, akiwasilisha kazi iliyofanywa na kundi lake kwa niaba ya wenzake.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :