MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Posted in
Michezo
No comments
Saturday, December 6, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT waliopewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
VIONGOZI WAKIFUATILIA MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDELEA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT kushoto akioneshana umwamba kutupiana makonde na Athanas Emmanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa taifa
Mabondia Babu Luda wa Morogoro kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa Taifa. Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali
Bondia Fred Julius wa Kigoma kushoto akitupiana makonde na Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi alishinda kwa KO ya raundi ya pili
Mabondia Babu Luda wa Morogoro kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali.
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :