MAULID YA KUMPONGEZA BI. ZAHRA MUHIDIN MICHUZI YAFANA SANA
Posted in
Matukio
No comments
Monday, December 8, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Ankal akimpongeza Binti yake Zahra wakati wa hafla ya Maulid ya Kumpongeza baada ya kulamba Nondozz yake ya kwanza ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla hii imefanyika jana Nyumbani kwa Kaka wa Ankal,Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.
Baba Mkubwa wa Zahra,Ismail Michuzi akiongoza dua ya kuwakumbuka ndugu waliotangulia mbele ya haki kabla ya shereha ya Maulid ya kumpongeza Binti Zahra alielamba Nondozz yake ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma, hivi karibuni. Kulia ni Ankal.
Zahra akijumuika na Mashangazi zake katika Maulid hiyo
Vijana wa Madrasa wakitoa burudani kwa Qaswida mwanana kabisa.
Ankal akisikiliza Jambo kutoka kwa Kaka yake,Macheka.
Dufu zikipigwa.
Ankal akiwatunza vijana wa Madrasa.
Vijana wa Madrasa wakiimba Qaswida kwa ustadi mkubwa.
Zahra na Mama zake wadogo.
Msimamo wa Qiyam.
Shangwe zatawala.
Binti wa Ankal,Zahra Muhidin Michuzi akiwa kaketi kwenye kiti chake tayari kwa kupongeza kwa kulamba Nondozz yake hiyo.
Ankal na Dada yake,Bi. Ndonya
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :