MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA YATIMA TOSAMAGANGA
Posted in
misaada
No comments
Wednesday, December 24, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Bw Mungai akishuhudia jinsi watoto wanavyohudumiwa |
| Bi Sarafina Mungia na Geofrey Mungai wakiwatazama wahudumu wakiwalisha watoto yatima wa Tosamaganga Iringa |
| Bw Geofrey Mungai akisaidia kuwapa uji watoto yatima wa Tosamaganga Iringa baada ya kumaliza kuwapa msaada wa chakula cha Krismas na mwaka mpya |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :