VODACOM TANAZANIA YAENDESHA ZOEZI LA KUWAPIMA KIWANGO CHA KILEVI MADEREVA JIJINI ARUSHA.

No comments
Monday, December 22, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi, Manase Temaeli, dereva wa gari la Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya safari zake kati ya miji ya Moshi na Arusha .

Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi ,Rumisha  Minja dereva  wa gari la Mtei lenye namba za usajili, T 882 CDU linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar  es Salaam.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .