WAKAZI WA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO

Posted in
No comments
Tuesday, December 2, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha waliofika katika mabanda ya Vodacom yaliyokuwa katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo kwa punguzo kubwa la bei.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha waliofoka katika mabanda maalumu ya kuuzia Simu za Sumsung yaliyokuwa katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa ajili ya kupata huduma
za simu za mkononi zilizokuwa zikipatikana uwanjani hapo kwa punguzi kubwa la bei.

Wateja wakitizama bidhaa mbalimbali zilizokuwa zikiuzwa kwa punguzo kubwa la Bei.
Mmoja wa vijana wa kikundi cha sanaa akionesha umahiri wake wa kuchezeza na Rola mbele ya wakazi wa jiji la Arusha(hawapo pichani) wakati wa gulio la simu zilizotolewa kwa punuzo kubwa la bei lililofanyika katika uwanja wa Sheaik Amri Abeid kwa siku mbili.
Afisa Mauzo wa VODASHOP Arusha ,Janeth Jonathan akizungumza na mmoja wa ateja waliofika katika gulio la punguzo za simu lililofanyika katika uwanja wa Sheaikh Amri Abeid jijini Arusha.
Afisa huduma kwa wateja wa Vodashop jijini Arusha,Samya Ulimwengu akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda la Vodashop tawi la Sokoine Arusha kujipatia huduma ya simu ambazo zinapatikana katika Gulio la Simu za mkononi kwa punguzo kubwa la bei linalofanyika
katika uwanja wa Sheakh Ami Abeid jijini Arusha.
Burudani pia ilikuwepo uwanjani hapo.
Bidhaa za Sumsung  hususan Simu za mkononi zilipatikana katika mabanda haya 

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .