WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Posted in
No comments
Monday, December 22, 2014 By danielmjema.blogspot.com








Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.

Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said akisoma risala katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .