DKT. BILAL AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA MJINI ZANZIBAR
Posted in
Kifo
No comments
Friday, January 9, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, wakiwa katika Sala na Dua ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bibi Fatma Othman Ali kabla ya mazishi yake iliyofanyika Januari 08,2015 katika msikiti wa Mohammed Ali Jang’ombe Zanzibar. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, wakisaidia kutoa nje ya msikiti Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bibi Fatma Othman Ali baada ya Sala na Dua maalum iliyofanyika Januari 08,2015 katika msikiti wa Mohammed Ali Jang’ombe Zanzibar. |
Habari Zingine
- IS yauwa wanajeshi 32 wa Libya
- Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete alivyoongoza mazisi ya mtoto wa Mdau, Issa Muhiddin Michuzi
- UPDATES ZA MSIBA WA MTOTO WA ANKAL: MWILI UMESHAWASILI DAR ES SALAAM, MAZISHI LEO JUMAMOSI SAA 10 ALASIRI MAKABURI YA KISUTU
- WENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU TABATA, JIJINI DAR ES SALAAM
- Jivu la mwili wa Fidel Castro lazikwa Santiago Brazil
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :