TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR

Posted in
No comments
Friday, January 9, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (Mstaafu),Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Rais wa TUCTA, Grasian Mukoba akizngumza machache wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Ankal na wadau pia walihudhulia hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani akiwa amejumuika na wadau wengine kwenye hafla ya kumuaga iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .