By
danielmjema.blogspot.com
 |
Majira ya saa moja asubuhi katika kituo cha Mandara ikiwa ni siku ya pili ya safari ya Mabalozi kupanda Mlima Kilimanjaro maandalizi ya muendelezo wa safari hiyo yanaanza. |
 |
Balozi wa Tanzania katika falme za nchi za kiarabu,Mbarouk N. Mbarouk akiongoza msafara wa Mabalozi kuelekea kituo cha Horombo. |
 |
Sfarai inaendelea. |
 |
Balozi Adadi Rajab anayeiakilisha Tanzania nchini Zimbabwe na Mauritius akitafakari safari ya kuelekea kituo cha Horombo. |
 |
Mabalozi Patrick Tsere (Malawi) na Balozi Batilda Burian wakivuta pumzi kwanza kabla ya kuendelea na safari. |
 |
Balozi Grace Mujuma (Zambia) akiongozana na Balozi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),Balozi Charles Sanga wakienda na mwendo wa Mdogo mdogo. |
 |
Muongoza watalii mkuu msaidizi wa kampuni ya Zara Tour ,Theofiri(mwenye miwani) akiwaongoza mabalozi kuelekea kituo cha Horombo. |
 |
Mabalozi,Waandishi pamoja na waongoza watalii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembea kwa umbali mrefu kueleka Horombo. |
0 MAOINI :