JUSSA KULONGA NA WANA DIASPORA, IN WASHINGTON D.C. LEO

Posted in
No comments
Saturday, February 28, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Mhe. Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha wanainchi CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo Washington, D.C. (DMV) kuongea na waTanzania Jumamosi February 28, 2015 kuanzia saa 10 jioni hadi mbili usiku (4pm-8pm). Zingatia muda.
Agenda; 
Mchakato wote wa Katiba mpya.
Ufafanuzi juu ya muundo wa serikali tatu
Uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu
Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na uraia pacha
Maswali na majibu bila kikomo

Address: TABEER HALL
1401 UNIVERSITY BLVD, HYATTSVILLE, MD

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .