TANZANIA BLOGGER'S NETWORK KUFANYA PARTY LEO KWENYE UKUMBI WA SERENA HOTEL, DAR ES SALAAM
Posted in
Jicho la Habari
No comments
Saturday, February 28, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Katika mkutano huo TBN imesema LEO Jumamosi jioni Bloggers takriban 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salam kwa ajili ya hafla ya mwaka mpya itayohudhuriwa pia na wadhamini na marafiki wa Bloggers.
Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale akifafanua jambo
wakati wa mkutano.
Mmiliki wa Blog ya Bongoweekend Khadija Kalili
akizungumza wakati wa mkutano.
Father Kidevu (kulia) akifafanua jambo wakati wa
mkutano.
Baadhi ya Bloggers na waandishi wa vyombo mbalimbali vya
Habari wakifuatilia jambo wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi
za Idara ya Habari Maelezo Dar es Salaam.
Habari Zingine
- Nawaza kwa Sauti: Leo Nimemkumbuka Shujaa Patrice Lumumba
- Katibu Mkuu amuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini
- KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN
- WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM KUJAILI MCHANGO WA DIPLOMASIA KATIKA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2025
- Africa Day 2015 is an opportunity to celebrate the development of the African continent as well as consider the various opportunities that it offers - DHL
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :