HAPPY BIRTH DAY MDAU MAUREEN ROBERT, MUNGU AKUPE AFYA TELE UNAPOSHEREKEAKUTIMIZA MIAKA MITATU YA KUZALIWA!

Posted in
No comments
Thursday, March 19, 2015 By danielmjema.blogspot.com

HAPPY BIRTH DAY!!! Mtoto Moureen Robert (3), anayetiiza umri wa miaka mitatu tangu azaliwe anawashukuru Wazazi wake Bi. Safina Sarwatt ambaye ni mwandishi wa Gazeti la Mtazania, mkoani Kilimanjaro na Baba yake Mzazi, Bwana Robert kwa kumleta Duniani. Kwa Pamoja tuungane naye katika Siku hii Muhimu Maishani mwake.Uongozi wa Kijiwe Chetu Blog Unakupongeza Maureen.
Moureen katika ubora wake
Hapa ni mtoto Moureen (wa pili kulia) akiwa na wenzake katika kusherekea siku yake ya Kuzaliwa. Hongera Mauren
Oyoooooo...leo nimezaliwa!!!!
Mtoto Moureen (kushoto) akimlisha Keki Binamu yake Jonas Mundi (kulia)
Happy Birth Day!!!!!!!

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .