TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT KUFANYA KONGAMANO LA WANAWAKE WAJASIRIAMALI APRILI 30 MWAKA HUU.

Posted in
No comments
Saturday, April 11, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Tanzania women and youth development society tumeandaa kongamano la girls entrepreneur in Tanzania April 30 ukumbi wa peacock,na kujiunga katika forum hii ji laki moja kwa mwaka na unapata kujua mambo  na fursa za kibiashara ikiwemo masoko ya Africa mashariki na nje ikiwemo china,na hata kukutana na wafanyabiashara waliofanikiwa kama unataka kujiunga piga simu +255 713 403231 pia fika katika ofisi zetu Maalifa house second floor.

Mratibu wa Kongamano hilo, Sophia Hezron (kushoto), akiwa na wajasiriamali wenzake, Monica Joseph (katikati) na Nancy Sumari.
Sophia Hezron (aliyeshika Kipaza sauti) akizungumza na wadau hivi karibuni

Baadhi ya bidhaa zitakazooneshwa katika kongamano hilo
mmoja wa wajasiriamali akizungumza na waandishi wa Habari hivi karibuni

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .