By
danielmjema.blogspot.com
|
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya
ya Pangani,Mugiri Emili kushoto akimuelekeza jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa
wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau ambaye alitembelea hospitali hiyo jana
kuwafariji wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hiyo na kugawana zawadi ambazo
ni sabuni,Poda,sukari ikiwemo mahitaji muhimu pamoja na kukabidhi jengo la
kupumzikia wagonjwa alilolijenga mbunge huyo kwa gharama za milioni 5,Picha na
Mpiga picha wetu,Pangani. |
|
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF)
Amina Mwidau akisalimiana na wakina mama wakati alipotembelea hospitali ya
wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi mbalimbali
ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji
muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za
sh.milioni tano na mbunge huyo,Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani. |
|
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga
kupitia (CUF) Amina Mwidau akizungumza na wakina mama waliokuwa wakisubiri
huduma za matibabu kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani jana wakati
alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji
na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la
kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo,Picha
na Mpiga Picha wetu,Pangani. |
|
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga
kupitia (CUF) Amina Mwidau akizungumza na wakina mama waliokuwa wakisubiri
huduma za matibabu kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani jana wakati
alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji
na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la
kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo,Picha
na Mpiga Picha wetu,Pangani. |
|
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga
kupitia (CUF) Amina Mwidau kulia kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali
ya wlaya ya Pangani,Mugiri Emili wakielekea wodini kwa ajili ya kuwatazama
wagonjwa ,kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la
kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge
huyo,Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani. |
|
Katikati ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa
wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau akitoa maelekezo namna ya ugawaji wa zawadi
kwa wagonjwa wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kwafariji
wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,,sukari,poda na kukabidhi jengo
la kupumzikia wagonjwa ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za
sh.milioni tano kushoto kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya
Pangani,Dennis Ngaromba Picha na Mpiga Picha Wetu,Pangani. |
|
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga
(CUF) Amina Mwidau akimsalima mtoto mchanga kwenye hospitali ya wilaya ya
Pangani wakati alipokuwa akiwatembelea wagonjwa kuwajulia hali kuwapa zawadi na
kukabidhi jengo la kupumzikia hospitalini hapo lilolojengwa na mbunge huyo kwa
gharama za shilingi milioni tano,Picha na Mpiga Picha Wetu, Pangani. |
0 MAOINI :