By
danielmjema.blogspot.com
|
Mwenyekiti
Mpya wa mji mdogo wa Himo,Hussein Jamal akiwasili katika ukumbi wa King
size katika mji wa Himo kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya
kufanikiwa kushinda kiti hicho. |
|
Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo. |
|
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Himo wakiwa katika sherehe hizo. |
|
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya
akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa
Himo ,Hussein Jamal. |
|
Kamanda wa Uhamasishaji wilaya ya Moshi Vijijini Hassan Hussein,akizungumza wakati wa sherehe hizo. |
|
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Kinondoni,Calist Lyimo akizungumza katika sherehe hizo. |
|
Mzee
Shayo maarufu kama King size akimpongeza naibu kamanda wa jumuiya ya
Vijana wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melecky kwa uamuzi wake wa
kutangaza nia ya kutaka kugombea jimbo la Vunjo. |
|
Viongozi wakiimba nyimbo za pongezi . |
|
Mwenyekiti
mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi
waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King
size uliopo mji mdogo wa Himo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 MAOINI :