HABARI PICHA- HARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Tuesday, August 11, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
| Bw.Almasi na Mke wake Jackline katika ubora wao |
| Baadhi ya watumishi wa Nssf Mbeya wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya mtumishi mwenzao kupata jiko ,(kushoto)Mr Maige na Khadija Rashidi Shibobo. |
| watoto wa madrasa wakisoma dua katika harusi ya Bw.Niah na Jackline nyumbani kwake Block T jijini Mbeya mwishoni mwa wiki..Picha Jamiimojablog. |
| Aliyekuwa rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA),Omari Ayub akiokoa jahazi kwa kugawa sahani za mpunga (Biliani) |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :