MODEWJI BLOG INAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Tuesday, August 11, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog
tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’
kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/ Denial-of-service_attack
ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi
hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji
ushirikiano wenu zaidi.
There has been an undergoing DDOS attach on the server https://en.wikipedia.org/wiki/ Denial-of-service_attack.
We have taken
measures to lighten the effects of this as much as we can. Unfortunately it is
something that we don't have much control over, but we will do all in our power
to get the blog back to full functionality.
Imetolewa na Operation Manager wa Modewjiblog, Zainul Mzige.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :