KENYA: RUBANI WA RUTO AKANUSHA KUMSHAMBULIA POLISI
Posted in
afrika mashariki
No comments
Wednesday, February 24, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Hakimu katika mahakama ya mji wa Engineer, Nyandarua ameagiza awekwe rumande hadi Jumatatu wiki ijayo kuwawezesha maafisa wa uchunguzi kupata habari zaidi ikiwemo kuthibitisha uraia wake.
Bw Alistair Llewelyn alijisalimisha kwa polisi eneo la Kilimani, Nairobi siku ya Jumatatu na akasafirishwa hadi Kinangop, katikati mwa Kenya kujibu mashtaka kuhusiana na tukio lililotokea Jumapili katika eneo la Ndunyu Njeru kilomita chache kutoka mji wa Engineer wakati wa mkutano wa Naibu Rais William Ruto. Kisa hicho kilinaswa kwenye video ambayo ilisambaa sana mtandaoni.
Habari Zingine
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :