NGUVU YA MITANDAO: MKENYA ALIYEJIPACHIKA KATIKA PICHA ZA WENGINE (PHOTOSHOP)

No comments
Sunday, March 27, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Mwanamke mmoja kutoka Kenya amejiweka katika msururu wa picha za likizo za watu wengine katika mtandao wake wa facebook. Baada ya kushindwa kuwa na uwezo wa kusafiri kwenda barani Asia,Sevelyn Gat alijiweka katika picha karibu na ndege,katika ukuta mkubwa wa Uchina na hekalu moja.

Picha hizo zilizowekwa kwa njia ya nzuri ili zisiweze kubainika kuwa za uongo zilikuwa mbaya zaidi na hivyobasi kuweza kupendwa na mara nyingi sana. Mfanyibiashara wa Nairobi sam Gachuru amejitokeza na kumsaidia kutafuta fedha ili kwenda likizo.

Kulingana na Sich Chirpse Sam aliwasumbua rafikize kuchangisha fedha za mahala pa kulala,nauli bima na pesa za kutumia. Seve pia amepata kibali chake cha kuzaliwa anemtuma ombi la pasipoti na amepata kufunzwa kama meneja wa mradi.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .