PREZZO AANIKA 'HIV STATUS' YAKE INSTAGRAM
KUFUATIA uvumi wa muda mrefu kwamba, Rapa Prezzo, raia wa Kenya ameathirika na virusi vya gonjwa hatari la Ukimwi, hatimaye msanii huyo ameibuka na kuvunja ukimya kwa kuanika 'Status' yake.
Uvumi kuhusu kuathirika kwa Prezzo zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii, kutokana na kitendo cha msanii huyo kupoteza uzito kwa kasi katika siku za hivi karibuni, ambapo wengi wamekuwa wakisema kuwa, gwiji huyo anayetambulika kwa sifa ya kuwa 'Cassanova' ameukwa!
Rapa huyo wa Mafans alilazimika kuingia hospitali kwa ajili ya kufanya vipimo na baada ya kuridhika na matokeo, alisambaza matokeo ya Status yake kwa lengo la kuvunjwa ukimya na kuthibisha kile kinachosemwa juu yake.
Prezzo alitupia ripoti hii ya vipimo vyake katika mtandao wake wa Instagram ambapo aliambtanisha na maneno haya “Know ur status, I just had to coz
some of y’all talk too much #GodsSon #Alhamudulillah #Rapcellency
(sic).”
Habari Zingine
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :