SOMALIA: AUSTRALIA YANASA SHEHENA YA SILAHA KATIKA PWANI YA OMAN
Posted in
afrika mashariki
No comments
Monday, March 7, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Jeshi la wanamaji wa Australia limekamata boti moja katika pwani ya Oman ambayo haikujulikana inakotoka. Ilisemekana ni boti la uvuvi lakini walipofanya upekuzi, wakagundua shehena kubwa ya silaha ambazo wanashuku zilikuwa zinapelekwa Somalia.
Miongozni mwa silaha hizo ni magruneti na bunduki zaidi ya 2,000 za AK 47 bunduki aina za rashasha mbali na bunduki zenye nguvu. Shehena hiyo ya silaha ilikuwa imefichwa chini ya neti za uvuvi.
Majeshi ya wanamaji wa Australia ni mojawapo ya majeshi ya kimataifa wenye meli zinazoshika doria kwenye bahari kuu na wanamamlaka ya kukamata silaha zinazopelekwa Somalia.
Jeshi la wanamaji wa Australia limekamata boti moja katika pwani ya Oman ambayo haikujulikana inakotoka. Ilisemekana ni boti la uvuvi lakini walipofanya upekuzi,wakagundua shehena kubwa ya silaha ambazo wanashuku zilikuwa zinapelekwa Somalia.
Miongozni mwa silaha hizo ni magruneti na bunduki zaidi ya 2,000 za AK 47 bunduki aina za rashasha mbali na bunduki zenye nguvu. Shehena hiyo ya silaha ilikuwa imefichwa chini ya neti za uvuvi.
Majeshi ya wanamaji wa Australia ni mojawapo ya majeshi ya kimataifa wenye meli zinazoshika doria kwenye bahari kuu na wanamamlaka ya kukamata silaha zinazopelekwa Somalia.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :