Baada kuanza vyema ndani ya Manchester United, Rashford aweka rekodi hii England
Posted in
Michezo
No comments
Saturday, May 28, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England (Ana Miaka 18 na Siku 208).
Rashford alifunga goli katika dakika 3′ baadaye katika dakika 55 Rooney alifunga goli la pili na mechi hiyo ya kilafiki iliyo chezwa usiku wa May 27 iliisha kwa England 2 – 1 Australia.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :