Cindy ft Wahu~Yeye (Official Video)

Posted in
No comments
Tuesday, May 24, 2016 By danielmjema.blogspot.com


Memba wa zamani wa kundi matata la akina dada watatu kutoka Uganda, Blue 3, sanii wa zamani wa kundi la Blue 3 la Uganda, Cindy ameamua kurudi upya katika game, baada ya kuachia ngoma kali inayokwenda kwa jina la 'Yeye' aliyomshirikisha Nyota wa muziki wa Afro Pop, kutoka Kenya, Wahu. Hii ni kazi ya kwanza kutoka kwa Cindy tangu ajiunge na Grandpa Records ya Kenya.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .