Diamond: Hachepuki mtu hapa
Posted in
afrika mashariki
,
Burudani
No comments
Saturday, May 14, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
STAA wa Bongo fleva Diamond Platnum amekanusha vikali stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Kwetu ya Raymond.
Akizungumza na Enewz Diamond alisema kuwa hizo ni stori tu ambazo mapaparazi waliamua kuzitengeneza lakini Zari hakuwahi kuwa na uhusiano wowote na Ivan tangu awe na yeye.
mahusiano yetu ni ya kimaarufu ambayo yamempelekea hadi X wake nae pia kuwa maarufu so unapokuwa maarufu vitu vinakuwa vingi na kwa Irene wanahisi hivyo kwakua ni mzuri na kwakuwa naonekana maarufu na ninauwezo na vile pia Ray ni msanii wetu so wanahisi naweza kufanya hivyo pia.
Stori zilizozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ni kuwa Zari amerudiana na mpenzi wake wa zamani na inasemekana kwa sasa Zari na Ivan wanachepuka huko South Africa wakati Mondi naye akijiachia na Irene ambae ni video Queen wa Raymond katika nyimbo ya Kwetu.
eatv.tv
Habari Zingine
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :