Malkia Strikers Wawasili nchini Argentina kwa ajili ya mechi ya kirafiki, kabla ya kuanza kwa Grand Prix

Posted in
No comments
Sunday, May 29, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Timu ya Taifa ya Kenya katika mchezo wa Voliboli, Malkia Strikers, wamefika salama katika mji wa Jujuy, Kanda ya Kaskazini, nchini Argentina tayari kwa raundi ya pili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Argentina, ikiwa ni maandalizi kabla ya kuelekea katika mashindano ya Grand Prix.


Kwa mujibu wa taarifa waliyopost kwenye mtandao rasmi wa timu hiyo ya Facebook, Malkia Strikers walisafiri kwa saa moja na nusu kwa kutumia ndege kutoka Buenos Aires, Brazil hadi Tucuman na kisha wakafanya safari ya masaa manne na nusu kwa kutumia Basi hadi Jujuy, nchini Argentina. 

Bada ya kutua Argentina, Malkia Strikers waliposti maneno haya: "We have safely arrived in the Northern Province of Jujuy in Argentina after one-and-a-half-hour flight from Buenos Aires to Tucuman and a four-hour bus ride to Jujuy Province. Here we shall play a return leg test friendly match against Argentina before heading back to Tucuman for the start of the Grand Prix."

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .