Mpyaaaaa: Ali Kiba-'Aje' (Official Video)
Posted in
Burudani
No comments
Thursday, May 19, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Staa wa Bongo fleva Alikiba, ambaye leo ameingia mkataba wa kazi na lebo ya Sony Music nchini afrika kusini, ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya ya ‘Aje’ ambayo imefanyika mjini Cape Town, Afrika Kusini South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :