TBTyaleo: picha 4 za Diamond na Alikiba walizopiga pamoja
Posted in
Burudani
No comments
Thursday, May 19, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Katika Throw Back Thursday ya leo, tunakuletea picha nne ya mastaa wakali wa Bongo fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba kipindi hicho wakiwa ni marafiki wakubwa. hzi ni picha zao za zamani walizowahi kupiga pamoja.
Kutoka kushoto AY, Alikiba, Rose Muhando, Diamond na Mwana FA
Kutoka kushoto Diamond, Alikiba na Berry Black
Kutoka kushoto Alikiba, shabiki na Diamond
Habari Zingine
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :