Tizama maajabu ya Teknolojia, Nyumba imejengwa chini ya Mwamba
Posted in
Teknolojia
No comments
Tuesday, May 24, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Teknolojia kila siku inazidi kuchukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba!!! halafu bwawa la kuogelea ndio linakuwa kama paa vile, stori kutoka kutoka CNN kuhusu nyumba hiyo ambayo itakuwa ya kwanza Duniani kujengwa ndani ya mwamba huko Lebanon,imeingia kwenye headlines ambapo ramani yake ilitengenezwa mwaka 2015.
Nyumba hiyo inayosemekana kujengewa bwawa la kuogelea juu na kuwekea kioo kwa chini kama dari la nyumba hiyo iliyo ndani ya mwamba, bwawa lake la kuogelea linatajwa kuwa na ukubwa mara mbili zaidi ya nyumba yenyewe. Lebanon kujivunia na mpango wa nyumba hiyo.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :