Tizama Video ya Mayunga ft Akon- 'Please Don't go Away'

Posted in
No comments
Saturday, May 21, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayunga leo ameachia rasmi video mpya ya single yake aliyomshirikisha staa Akon iitwayo Please Don’t go away’.
Katika video hiyo ndani ameshirikisha mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign iitwayo Play No Games
itazame hapa mtu wangu ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako ili Mayunga atapita hapa kujua Afrika mashariki wanaichukuliaje kazi yake hiyo

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .