Mechi za Euro 2016 zinachezwa kwenye viwanja hivi
Posted in
Michezo
No comments
Saturday, June 11, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Wakati michuano ya Uero 2016 inapoendelea kuchanga mbuga nchini Ufaransa, Bado siku najua kuna rekodi na taarifa nyingi sana zimekufikia kuhusu mashindano ya Euro 2016, hata hivyo nimeamua kukusogezea mandhari ya viwanja 10 vinavyohusika kuandaa mechi mbalimbali.
10- Stadium Municipal de Toulouse, Toulouse – uwezo wa kuchukua mashabiki 35,472
Kundi D – Spain v Czech Republic, 13 June
Kundi E – Italy v Sweden, 17 June
Kundi E – Russia v Wales, 20 June
9- Allianz Riviera, Nice – mashabiki 35,624
Kundi C – Poland v Northern Ireland, 12 June
Kundi D – Spain v Turkey, 17 June
Kundi E – Sweden v Belgium, 22 June
8- Stade Bollaert-Delelis, Lens – mashabiki 41,233
Kundi A – Albania v Switzerland, 11 June
Kundi B – England v Wales, 16 June
Kundi D – Czech Republic v Turkey, 21 June
7- Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne – mashabiki 41,965
Kundi F – Portugal v Iceland, 14 June
Kundi D – Czech Republic v Croatia, 17 June
Kundi B – Slovakia v England, 20 June
6- Stade de Bordeaux, Bordeaux – mashabiki 42,115
Kundi B – Wales v Slovakia, 11 June
Kundi F – Austria v Hungary, 14 June
Kundi E – Belgium v Rep. Ireland, 18 June
Kundi D – Croatia v Spain, 21 June
5- Parc des Princes, PSG – Euro 2016 mashabiki 48,712
Kundi D – Turkey v Croatia, 12 June
Kundi A – Romania v Switzerland, 15 June
Kundi F – Portugal v Austria, 18 June
Kundi C – Northern Ireland v Germany, 21 June
4- Stade Pierre-Mauroy, Lille – mashabiki 50,186
Kundi C – Germany v Ukraine, 12 June
Kundi B – Russia v Slovakia, 15 June
Kundi A – Switzerland v France, 19 June
3- Parc Olympique Lyonnais, Lyon – mashabiki 59,186
Kundi E – Belgium v Italy, 13 June
Kundi C – Ukraine v Northern Ireland, 16 June
Kundi A – Romania v Albania, 19 June
Kundi F – Hungary v Portugal, 22 June
Last 16 (1st Grp A v 3rd Grp C, D or E), 26 June
Nusu fainali #1, 6 July
2- Stade Velodrome, Marseille – mashabiki 67,394
Kundi B – England v Russia, 11 June
Kundi A – France v Albania, 15 June
Kundi F – Iceland v Hungary, 18 June
Kundi C – Ukraine v Poland, 21 June
Robo fainali #1, 30 June
Nusu fainali #2, 7 July
1- Stade de France, Paris – mashabiki 81,338
Kundi A – France v Romania, 10 June
Kundi E – Rep. of Ireland v Sweden 13 June
Kundi C – Germany v Poland, 16 June
Kundi F– Iceland v Austria, 22 June
Last 16 (1st Grp E v 2nd Grp D), 27 June
Robo fainali #4, 3 July
Fainali, 10 July
ALL GOALS: TAIFA STARS VS MISRI JUNE 4 2016, FULL TIME 0-2
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :