YALIYOJIRI: Maxence Melo aachiwa kwa dhamana

No comments
Monday, December 19, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Hatimaye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, Dar es salaam, imemuachia kwa dhamana Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiFORUMS Maxence Melo leo.

Maxence Melo, ambaye ni Mkurugenzi wa Jamii Media.Co Ltd, alikamatwa juma lililopita akikabiliwa na mashitaka matatu ambayo yalitajwa mbele ya Mahakimu watatu, mnamo Desemba 16, mwaka huu kuwa ni:

1. Kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania.

2. Kuzuia uchunguzi wa Jeshi la Polisi.
3. kushindwa kutoa data alizonazo kuhusu watumiaji wa mtandao huo.


Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .