Mr II (SUGU) Alivyokamua Dar Live
Posted in
No comments
Tuesday, June 5, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Msanii
mahiri wa HIP HOP ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
(Chadema), Joseph Mbilinyi 'Mr II' a.k.a Sugu, juzi alizikonga nyoyo
za mashabiki wake waliofurika ndani ya ukumbi wa Dar Live
uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kwa kufanya makamuzi ya
hatari katika tamasha la Usiku wa Sugu. Sugu alisindikizwa na Juma Nature, Profesa Jay, Vinega, Mkoloni na wengineo wengi kwenye shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake.
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari a.k.a (Dogojanja) nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu ndani ya Dar Live.
Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan akiwasalimia mashabiki wa Dar Live
Nyomi iliyohudhuria Usiku wa Sugu.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :