Tanzania Na China Za Jivunia Mafanikio Ya Matumizi Ya Teknolojia Katika Kilimo
Posted in
No comments
Sunday, June 24, 2012
By
danielmjema.blogspot.com

Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Eng. Christopher Chiza (kulia)
akizungumza na wageni mbalimbali walioalikwa na ubalozi wa China nchini
Tanzania kuhusu mikakati ya serikali ya kuboresha kilimo na kuongeza
uzalishaji wa mazao wakati wa hafla fupi ya kusherehekea mafanikio ya
matumizi ya teknolojia ya kilimo kati ya China na Tanzania katika miradi
mbalimbali ya Kilimo inayofanyika Tanzania.

Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Eng. Christopher Chiza (kulia)
akizungumza jambo na Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing
wakati wa hafla fupi ya kusherehekea mafanikio ya matumizi ya
teknolojia ya kilimo kati ya China na Tanzania kwenye miradi mbalimbali
ya kilimo nchini.

Viongozi
mbalimbali kutoka ubalozi wa China na seraikali ya Tanzania wakiimba
wimbo wa Taifa wa Tanzania kabla ya kuanza hafla fupi ya kusherehekea
mafanikio ya matumizi ya teknolojia ya kilimo kati ya China na
Tanzania kwenye miradi mbalimbali inayofanyika nchini Tanzania.Kutoka
kushoto nyuma ni balozi wa China nchini Tanzania Bw.
Lu
Youqing, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame
Mbarawa, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Eng. Christopher Chiza
na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John
Haule.

Baadhi
ya mashuhuda wa miradi mbalimbali ya ushirikiano kati ya China na
Tanzania ukiwemo ujenzi wa reli ya Uhuru (TAZARA) walioalikwa kwenye
hafla hiyo Bw. Abdul Haji (kulia) na mama Roza Kangoma (kulia) ambaye
ni mama wa balozi wa Zambia nchini Tanzania pia aliwahi kuwa mkuu wa
chuo cha mafunzo cha TAZARA.
Chanzo Full Shangwe. http://www.fullshangweblog.com
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :