Waziri Terezya huvisa azungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar leo
Posted in
No comments
Tuesday, September 4, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa
akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Mkutano wa
Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, Mkutano huu ni Kutathimini
utekelezaji wa Makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Banako, Mali
Mkutano Unafanyika Nchini Tanzania Mjini Arusha kulia Mkurugenzi wa
Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :