DKT BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UJUMBE MAALUM WA SYRIA
Posted in
No comments
Monday, April 29, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam
A'ala, wakati akimkaribisha ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam
jana Aprili 28, 2013 alipofika kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria,
Hussam A'ala, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam jana Aprili 28, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria,
Hussam A'ala, na ujumbe wake wakati alipofika Ofisini kwa Ikulu jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo, jana Aprili 28, 2013.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :