HIZI PICHUU NI USHAHIDI WA DIAMOND KUANZA KULA FEDHA ZA BILIONEA BAKHARESA?

Posted in
No comments
Thursday, June 13, 2013 By danielmjema.blogspot.com




Wanasema hela huenda kwa wenye hela na mwenye nacho huongezewa zaidi. Sina uhakika, lakini kwa mujibu wa picha nilizoziona kwenye akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz, inaonekana kama the lad is about get some serious money from wazee wa machapati ‘Azania’.

Katika akaunti hiyo, Diamond ameweka picha kadhaa ambazo zote zinamuonesha akiwa amebeba magunia ya unga wa ngano wa Azania na katika picha moja ameandika, “Guess what???.

Tutegemee surprise siku si nyingi!!


Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .